Mafunzo ya Ziada ya Kuimarisha Ukufunzi na Ushauri
Mwongozo wa Mwezeshaji
Faster downloadPublished Year: 2015

Language: sw
Details: Mafunzo haya ya ziada ya Kuimarisha Ufunzaji na Ushauri kwa walimu wanaofundisha kusoma daras la 1-4 ni matokeo ya msaada wa watu wa Amerika kupitia ufadhili wa Shirika la Misaada ya Kimataifa ya Mendeleo la Marekani (USAID) kwa Programu ya Elimu ya Msingi ya TZ21. Msaada huu wa watu wa Marekani unalenga kujenga uwezo wa watoto wa Tanzania kielimu.
Summary: Washiriki waweze kufanya yafuatayo: 1. Kutafakari na kushirikishana kuhusu mafanikio ya mafunzo ya ufunzaji na ushauri, na vikwazo vilivyojitokeza. 2. Kupokea mrejesho kuhusu maendeleo na kupata ushauri wa jinsi ya kukabiliana na vikwazo. 3. Kuelewa kuwa ufunzaji unapaswa kuwa ni mlolongo wa shughuli zinazolenga kujenga stadi muhimu za kufundisha ambazo mwalimu anatakiwa kuwa nazo 4. Kuweza kuandaa mbinu za kufunza zitakazofanikisha mchakato wa ufunzaji wa maarifa na stadi muhimu kwa mwalimu 5. Kuandaa mpango bora wa ufunzaji wa walimu kwa ajili ya utekelezaji katika shule zao.