You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Tiba Baina ya Watu (TBW) ya Kikundi kwa Ajili ya Sonona
Group Interpersonal Therapy (‎IPT)‎ for Depression
Publisher International Rescue Committee
Published 2019
sw
Download
0.7 MB
Sonona ni hali muhimu ya afya. Inaongoza kwa kusababisha ulemavu duniani na inawezakuwa kisababishi cha kujiua. Kutokana na sababu hizi, tiba inayolenga sonona, pamoja na magonjwa mengine sugu ya akili ni kiashiria katika kusimamia utekelezaji wa mpango kamilifu wa afya ya akili wa mwaka 2013-2020 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) uliopitishwa na Mkutano wa 66 wa Afya Duniani, ukijumuisha Mawaziri wa Afya 194 kutoka nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani. Sonona ilikuwa ndiyo kauli mbiu ya Shirika la Afya Duniani Siku ya Afya ya Akili Duniani mwaka 2017. Tiba Baina ya Watu (TBW) ilitengenezwa na Gerald L Klerman na Myrna M Weissman katika miaka ya 1970 kwa ajili ya matibabu ya sonona kwa wataalamu wa afya ya akili. Imetoholewa kwa magonjwa tofauti ya akili na makundi ya umri na anuai ya jamii na mazingira ya kitabibu duniani. Matokeo yake yanayotakiwa yameweza kuelezewa kupitia tafiti mbalimbali za kitiba kwa nchi za kipato cha juu, kati na chini kwa kutumika katika nyanja zote za makundi na kwa mtu mmoja mmoja. Mwongozo huu wa TBW wa sonona uliobadilishwa kutumika kwa vipindi 8 vya makundi na kuhusisha muundo uliorahisishwa kwa wawezeshaji ambao hawakupata mafunzo tangulizi ya afya ya akili.
...
International Rescue Committee Tanzania Programme
...
Translated by
Mrema Noel Kilozo, Isaac Saria Lema
Thank you to International Rescue Committee
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all