Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Mafunzo ya Jamii na Sanaa
Rasilimali za Msingi
Mchapishaji The Open University
Mwaka 2017
sw
Pakua 3.0 MB
Nyenzo za TESSA zimeundwa na kuendelezwa na wataalamu wanaofanya kazi nchi mbalimbali za Kiafrika. Zimetolewa kwa kupitia leseni bunifu ya pamoja na zinaweza kutumika na kurekebishwa kwa mahitaji yako ipasavyo, kuendana na hali halisi kama inavyohitajika. Yaliyomo Namba ya moduli 1 Kujenga Welewa wa Mahali ● Sehemu ya 1 Uchoraji wa ramani kwa mazingira ya mahali hapo ● Sehemu ya 2 Makazi na rasilimali ● Sehemu ya 3 Kuchunguza hali ya hewa ● Sehemu ya 4 Utafiti wa mabadiliko wa Mazingira ● Sehemu ya 5: Kuwapeleleza watu wengine na maeneo Namba ya moduli 2 Utafiti wa Kihistoria ● Sehemu ya 1 Utafiti wa historia ya familia ● Sehemu ya 2 Kutafiti namna tulivyoishi zamani ● Sehemu ya 3 Kutumia njia tofauti za ushahidi katika historia ● Sehemu ya 4 Ufahamu wa Chati ya kalenda ya matukio ● Sehemu ya 5 Kutumia kazi za sanaa kujifunza mambo ya kale Namba ya moduli 3 Kuangalia Sanaa ● Sehemu ya 1 Kuchunguza Kazi za Sanaa zionekanazo ● Sehemu ya 2 Kuandaa Shughuli za Sanaa kwa Vitendo- ● Sehemu ya 3 Kutumia ngoma kujifunza ● Sehemu ya 4 Kutumia muziki darasani ● Sehemu ya 5 Sanaa ya kuhadithia hadithi
...
Creative Commons
...
Shukrani kwa The Open University
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.