Sign up for news and free books by email!
Stadi za Maisha
Rasilimali za Msingi
Publisher The Open University
Published 2017
sw
Download
2.2 MB
Nyenzo za TESSA zimeundwa na kuendelezwa na wataalamu wanaofanya kazi nchi mbalimbali za Kiafrika. Zimetolewa kwa kupitia leseni bunifu ya pamoja na zinaweza kutumika na kurekebishwa kwa mahitaji yako ipasavyo, kuendana na hali halisi kama inavyohitajika. 1- Maendeleo ya Mtu Binafsi –Jinsi Kujiheshimu Kunavyoathiri Kujifunza 2- Kutalii Maendeleo ya Jamii 3- Masuala ya Jumuiya na Uraia Yaliyomo: Namba ya moduli 1 Maendeleo ya Mtu Binafsi –Jinsi Kujiheshimu Kunavyoathiri Kujifunza Sehemu ya 1 Njia za kuchunguza jinsi wanafunzi walivyo Sehemu ya 2 Kupanga vipindi vya ukuaji na maendeleo ya kimwili Sehemu ya 3 Kuchunguza mawazo ya wanafunzi juu ya kuishi kiafya Sehemu ya 4 Vitendo vya kuimarisha ustawi wa kisaikolojia Sehemu ya 5 Vitendo vya kuimarisha ustawi wa kiroho Namba ya moduli 2 Kutalii Maendeleo ya Jamii Sehemu ya 1 Kutambua mtandao (muingiliano) wa jamii Sehemu ya 2 Kuchunguza nafasi yetu katika jumuiya Sehemu ya 3 Njia za Uwajibikaji Sehemu ya 4 Kuchunguza Kujithamini Sehemu ya 5 Njia za kudhibiti migogoro Namba ya moduli 3 Masuala ya Jumuiya na Uraia Sehemu ya 1 Kubainisha uraia mwema Sehemu ya 2 Njia za kuchunguza masuala ya kijinsia Sehemu ya 3 Kuchunguza kazi na ajira Sehemu ya 4 Kutalii mazingira Sehemu ya 5 Mbinu makini za kukabili wu na ukimwi
...
This work is licensed under a Creative Commons Attribution-Share Alike 4.0 License TESSA (Teacher Education in Sub-Saharan Africa) inalenga kuboresha utekelezaji darasani wa walimu wa msingi na walimu wa sayansi wa sekondari barani Afrika kupitia matoleo ya Rasilimali Huria za Elimu (OERs) ili kuunga mkono walimu kuunda njia zinazowalenga wanafunzi na kuwashirikisha. OER ya TESSA huwapa walimu kitabu cha kurejea pamoja na vitabu vya shule. Zinatoa shughuli kwa walimu kujaribu madarasani pamoja na wanafunzi wao, pamoja na masomo ya utafiti inayoonyesha jinsi walimu wengine wamefunza mada hiyo, na rasilimali husishi za kuwaunga mkono walimu katika kukuza mipango ya masomo yao na ufahamu wa somo. OER ya TESSA imeandikwa kwa ushirikiano wa waandishi wafrika pamoja na wa kimataifa ili kushughulikia mtalaa na muktadha. Zinapatikana kwa matumizi ya mtandaoni na chapa (http://www.tessafrica.net).
...
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.