Maktaba.org has sponsored the creation of 3 pickleball courts in Arusha, Tanzania
You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Mwongozo Wa Pili wa Mguu Pekuu wa Desturi za Kujifunza katika Mashirika na katika Mabadiliko ya Kijamii
Publisher Barefoot Collective
Published 2011
sw
Download 22.6 MB
Hii ni nyenzo ya kivitendo maalumu kwa viongozi, wawezeshaji na wataalamu wanaohitaji kurekebisha na kuboresha michakato yao ya kujifunza . Imeandaliwa kwa ajili ya mtu mmoja mmoja , mashirika pamoja na shughuli za mabadiliko katika jamii. Hiki sio tu kitabu kingine kuhusu taratibu za kujifunza katika mashirika na katika mabadiliko ya kijamii. Ni kitabu cha kipekee kwa kuwa hakikuandikwa na mtu mmoja . Na wala sio mkusanyiko wa insha zilizoandikwa na watu tofauti tofauti. Kitabu hiki ni matokea ya jitihada za pamoja za kundi la wataalamu wa maendeleo kutoka duniani kote. Kilibuniwa na kuandikwa kwa kupitia warsha tatu shirikishi na makini za kuandika, maarufu kama warsha za uandishi . Kwa kupitia mchakato huu tumebuni kitu cha kutusaidia sisi wenyewe pamoja na watu wengine katika kuanza na kuendeleza safari yenye mafanikio katika kujifunza na katika kuleta mabadiliko ya kijamii. Sisi (waandishi) sote tuna shauku ya kujifunza na tumekusanya na kutoa uzoefu na utaalamu wetu tofauti tofauti katika kitabu hiki.
...
Kimeandikwa na kundi la pili la mguu peku na kuongozwa na Meg Jordi.
...
ISBN: 9780620502368
Thank you to Barefoot Collective
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all