You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Utamaduni wa Usomaji Tanzania
sw
Pages 18
Download 5.6 MB
"...books can teach us, can inspire us, or can refresh our minds with pleasure of a good story well told. Books can break down the isolation of our lives and provide us with a friend wherever we may be." J.K Nyerere "The Importance and Pleasure of Reading" in Freedom and Socialism (1968) "Vitabu ni hazina ya akili na elimu. Hazina ya fedha, dhahabu na majohari jufunguliwa kwa funguo. Ufunguo wa kufungulia hazina za vitabu ni kusoma. Mtu yeyote awezaye kusoma huweza kuingia katika hazina hii akachukua akili na elimu nyingi kama awezavyo kuona." - Robert Shaaban "Vitabu" katika Insha na Mashairi (1967) Makala haya yamekusudiwa kujadili suala la utamaduni wa usomaji katika Tanzania, katika muktadha ... Lengo letu ni kuthamini hali ya usomaji katika nchi yetu , matatizo yanayokwamisha juhudi za kujenga utamaduni wa usomaji, na namna ya kuyakabili. Lakini kabla ya hayo tutaangalia kwanza historia fupi ya uandishi na usomaji katika Tanzania kuanzia zama za kuingizwa kwa hati ya Kiarabu (karne ya 10) hadi leo...
...
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all