You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Mbinu za Wanyeji za Kuleta Maendeleo ya Dunia
Maarifa Asilia
Written by World Bank
Publisher Kikundi cha Maarifa na Ujifunzaji, Kanda ya Afrika, Benki ya Dunia
sw
Pages 288
Download
1.0 MB
Chapisho hili ni matokeo ya ushirikiano wa kimataifa wa mtandao wa wakuzaji, watendaji na watetezi wa maarifa asilia. Wahariri wanawashukuru wale wote waliochangia kwa makala zao. Kwa zaidi ya miaka mitano, waandishi wa Tini za MA wametumia muda na juhudi zao kuchangiana uzoefu, maoni na mafunzo waliyojifunza. Wahariri wanaamini kwamba waandishi watapeleka shukrani zao kwa wale ambao ndio chanzo cha maarifa yanayojadiliwa hapa: jumuia, wakulima wanawake, waganga wa jadi, wakunga, wazee wa vijiji, wafugaji na wengine wengi. Wahariri wanatoa shukurani za dhati kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin W. Mkapa, ambaye ameandika utangulizi wa chapisho hili na ambaye ujumbe wake mkuu tumeutumia kwenye jina la kitabu hiki: Mbinu za Wenyeji za Kuleta Maendeleo ya Dunia.
...
Thank you to Kikundi cha Maarifa na Ujifunzaji, Kanda ya Afrika, Benki ya Dunia
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all