Kisukari - Unachohitaji Kujua
Diabetes - What you Need to Know
Faster downloadPublished Year: 2012

Language: sw
Details: Kitabu hiki kimetolewa na Halmashauri ya Kisukari ya Australia. Kimeandikwa kwa lugha ya kiingereza na lugha zingine ili kuelezea yale unayohitaji kujua kuhusu ugonjwa wa kisukari.
Summary: Ugonjwa wa kisukari - Unachohitaji kujua kimeisha andikiwa watu wote walio na kisukari na pia wale ambao wangetaka kujifahamisha zaidi kuhusu hali hii. Wafanyi kazi wa afya walio na uzoefu na elimu katika sekta mbalimbali za utaalamu wa afya, wamechangia katika mpangilio na yaliyomo katika kitabu hiki. Kitabu hiki, kimepitiwa na waalimu wa kisukari, wataalamu wa vyakula na mtaalamu wa saikolojia ya mazoezi ya viungo. Kutambulika kuwa na ugonjwa wa kisukari huenda ukaleta mshangao na kuvunjika moyo. Ni rahisi zaidi unapoelewa hali hii na kufanya mpango wa jinsi ya kuudhibiti katika maisha. Kwa sababu hii, ni muhimu sana kuwa na habari kuhusu vyakula, Madawa, mazoezi, rasilimali za jamii na uangalizi wa kibinafsi wa hali hii.