You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Mwongozo wa Mafunzo ya Kilimo Hifadhi
Toleo la kwanza
Publisher CFU - Tanzania
Published 2016
sw
Pages 54
Kitabu/Kitini hiki ni Mwongozo wa Mafunzo ya Kilimo Hifadhi kwa Wakulima, Viongozi na Maafisa Ugani. Pia ni kwa ajili ya kufundishia wakulima wengine wa vijijini kuhusu Kilimo Hifadhi. Mwongozo huu hautoi maelezo kwa kina juu ya Kilimo Hifadhi bali unaeleza kwa kifupi mbinu na kanuni za Kilimo Hifadhi. Kimsingi mwongozo huu ni kwa ajili ya kufundishia Wakulima, Viongozi, na Maafisa Ugani mbinu na kanuni mbali mbali za Kilimo Hifadhi ambao pia nao watatoa mafunzo haya kwa wakulima wengine huko vijijini.
...
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all