Maktaba.org has sponsored the creation of 3 pickleball courts in Arusha, Tanzania
You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Mwongozo wa Mguu Peku katika Kufanya Kazi na Mashirika na Mabadiliko ya Kijamii
Publisher The Barefoot Collective
sw
Pages 176
Download 17.5 MB
Ni mwongozo wa vitendo, mahususi kwa viongozi na wawezeshaji wenye nia ya kusaidia mashirika kufanyakazi na kukua kwa ustawi zaidi, mashirika yenye kujali watu na yenye kutumia mbinu bora zaidi katika kujenga jamii yenye misingi ya utu. Mwongozo huu umeandaliwa na kundi la mguu peku. Mwongozo huu pamoja na tovuti yake umebeba dhana , mbinu, masimulizi na shughuli zilizofanyiwa utafiti na kujaribiwa. Lengo la mwongozo ni kuhamasisha na kuboresha mbinu za kuwezesha mashirika na harakati za kijamii katika kukabiliana na changamoto za kutenda, kujifunza, kukua na kupokea mabadiliko kwa lengo la kutimiza mahitaji ya jamii inayowazunguka. Ingawa mwongozo huu umewalenga viongozi na wawezeshaji wa mashirika (azaki za kiraia), ni matarajio yetu kuwa mwongozo huu utakuwa wa manufaa kwa mtu yeyote mwenye nia ya dhati ya kujenga mashirika yanayojali watu.
...
Jifunze zaidi: https://www.barefootguide.org/uploads/1/1/1/6/111664/bfg1_kiswahili_complete_34.pdf
...
ISBN: 9780620432405
Thank you to Barefoot Guide
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all