Sign up for news and free books by email!
Mazingira Yako na Kijiji - Your Village Environment
Pages 54
Kitabu cha elimu kuhusu mazingira ya kijiji chako - An Educational Workbook About Your Village Environment
Publisher: Tanzania People and Wildlife Fund sw
Mazingira Yako na Kijiji ni mojawapo ya mfululizo wa vitabu vinavyo tayarishwa na Asasi ya Watu na Wanyamapori wa Tanzania. Kitabu hiki ni kwa ajili ya kufundisha watoto kuhusu wao weneywe, familia zao na eneo wanaloishi. Utatakiwa kuuliza maswali kwa wazazi wako, babu/bibi au wazee wa kijiji, na kufikiria juu ya kijiji chako. Mazingira Yako na Kijiji is one of a series of booklets created by the Tanzania People and Wildlife Fund. This booklet is designed to teach children about themselves, their family and the place in which they live. You will need to ask questions of your parents, grandparents or village elders, and to think about your village.
...
Thank you to Tanzania People and Wildlife Fund