Taka
Maelezo Sahihi, Muongozo wa Redio, Muongozo wa shughuli za kijamii
Faster downloadPublished Year: 2019

Language: sw
Summary: Maelezo Sahihi, Muongozo wa Redio, Muongozo wa shughuli za kijamii Taka ni nini? Kadiri idadi ya watu inavyoongezeka ulimwenguni, idadi ya vitu ambavyo watu wananunua, na taka ambayo inazalishwa, pia inaongezeka. Njia ambayo tunatumia kuondoa taka zetu na pia njia ambayo bidhaa hutengenezwa humaanisha kuwa taka nyingi huishia/hukomea kwenye shimo kubwa la taka ardhini (landfills/dumping sites) na kwenye bahari zetu. Hili ni tatizo kubwa!