Tunza Jamii Yako, Tunza Mazingira Yako kwa Maisha Bora

Jihusishe. Jipangie. Amua

Faster download
Book Thumbnail

Language: sw

Details: http://41.59.85.7/handle/123/153 http://10.10.11.5/handle/123/153

Summary: Kijitabu hiki kimetengenezwa na Shirika la FHI 360 likishirikiana na Green Belt Movement kama sehemu ya tathmini kwa afya ya umma. Green Belt Movement ina lengo la kulinda mazingira ikiwa ni pamoja na uongozi mzuri kwa wale wanaoishi humo. Kijitabu hiki kitashughulikia uhusiano kati ya Mazingira bora, usalama wa riziki na familia zenye afya, miongoni mwa mengine.