Sign up for news and free books by email!
Mafunzo ya Afya ya Uzazi
Pages 128
Nyongeza ya Mtalaa Kwa Vijana
Written by International Youth Foundation
sw
Vijana kama watu wazima wanahitaji motisha ili waweze kufanya uamuzi bora kuhusu hali yao ya uzazi. Ishara inayoonyesha kuwa matokeo ya hali nzuri ya uzazi yanahusikana na kupata fursa ya elimu na uchumi. Mipango madhubuti inayolenga vijana inawahimiza vijana kuwa na ujuzi na vipaji ambavyo vinawapa fursa ya ajira na elimu bora. Ikiambatanishwa na huduma na elimu bora ya uzazi, mipango hii inaweza kuwapa motisha vijana kuhairisha mambo ya ngono au kutenda ngono kwa tahadhari kwa kuwasaidia kuelewa matokeo ya kudumu ya uamuzi wao na umuhimu wa kupanga maisha yao ya baadaye.
...
Alternate source: https://pdf.usaid.gov/pdf_docs/PA00HRNF.pdf
...
Not part of any reading lists yet
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Or check out these books being discussed
Books being discussed
Related books: Browse all