You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Mwongozo wa Jamii juu ya Afya ya Mazingira
Moduli ya Kwanza - Uhamasishaji Jamii juu ya Afya ya Mazingira
Written by
Publisher Hesperian
Pages 44
Kuhusu Moduli ya Kwanza. Baada ya kusoma moduli hii, utakuwa umejifunza yafuatayo: • Maana ya uboreshaji wa afya ya mazingira, • Faida na changamoto zake, • Namna ya kufanya uchambuzi juu ya visababishi vya matatizo ya afya ya mazingira, • Njia za kuelimisha na kuhamasisha jamii juu ya afya ya mazingira, • Maana ya haki za mazingira, • Changamoto katika upatikanaji wake, • Maana ya tathmini ya athari kwa mazingira na faida zake, • Namna ya kufungua kesi mahakamani kutetea haki za kimazingira. Turatajia kuwa utasoma moduli 5 zilizomo katika Mwongozo huu na kuzitumia kwa ubunifu ili kutoa machango wako kuendeleza. Tunatoa shukrani za dhati kwa Hesperian Foundation, pamoja na wadau wengine ambao walichangia kwa hali na mali katika kufanikisha maandalizi na uchapishaji wa mwongozo huu katika lugha ya Kiingereza, na sasa katika lugha yetu ya Kiswahili.
...
COBIHESA Trust Fund, P.O.BOX 65170, Dar es Salaam, Tanzania cobihesa2003@yahoo.com Toleo la Kwanza la Kiswahili: 2010 ISBN 9987 -580-26-2 © COBIHESA Trust Fund na Hesperian Foundation. Haki zote zimehifadhiwa. COBIHESA Trust Fund inaruhusu mashirika na asasi zisizo za kibiashara kunakili au kurudufu sehemu au kitabu kizima kwa ajili ya elimu kwa umma, na kwa msingi usio wa kibiashara. Hata hivyo, watu wote, asasi au idara zenye nia ya kuchapisha kitabu hiki kwa malengo yoyote yale wanatakiwa kwanza kupata idhini katika maandishi kutoka COBIHESA Trust Fund. Michoro: Imenakiliwa, kwa idhini ya Hesperian Foundation, kutoka A Community Guide to Environmental Health, ISBN 978- 0 -942364- 56 -9, Jeff Conant na Pam Fadem , 2008, Hesperian Foundation. Michoro mingine imechorwa na Steven Kipili Wasanifu wa jalada: Dominic Kubhota dkubhota@hotmail.com, na Mary S. Kihiyo. Picha za kwenye jalada zimetoka COBIHESA na zingine kwa Dominic Khubota. Mpiga chapa na msanifu wa kurasa: Mary Simon Kihiyo Wahariri: David Katusabe na Lucy Mlazi
...
ISBN: 9987580262
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all