Nuru ya Bhoke
Kimeandikwa na Shabani Kajala Wambura
Mchapishaji E & D Limited
Mwaka 2004
Kurasa 126
Bhoke ,msichana jasiri,ana kiu ya elimu.Baba yake,Mzee Ghesimba,ana kiu ya mali nyingi na wake wengi.Mzee Ghesimba yuko na wenzake akina Makiri,Mwita na Machotta. Hadithi inahusu umuhimu wa wasichana kuwa na lengo thabiti na juhudi kubwa wanaposaka elimu yao.Inaonyesha kwamba juhudi ya msichana inaweza ikashinda vizingiti vyote,ikiwemo wazazi wanaogeuza binti zao kuwa vitega uchumi kwa kuwaoza mapema ili wapate mali. It's a story about the importance of having a steadfast aim and diligence in the pursuit of education. It's a story that give hope in knowing that diligence of a girl can breakdown the barriers; even when parents view their daughters as an opportunity for wealth by marrying them off early.
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/nuru-ya-bhoke/
...
ISBN: 9987411029
Shukrani kwa E & D Limited
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.