Msichana wa Majini
Published Year: 2004

Language: sw
Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/msichana-wa-majini/
Summary: Jibril, mtoto wa mwanamke mjane anampenda na kumuoa Aisatu, msichana wa majini. Wanaishi Maisha ya upendo yenye sheria ngumu. Jibril anajaribu kutimiza masharti lakini anashindwa. Hatima yake ikawa ni kifo!