Mfalme Hembe

Published Year: 2004

Book Thumbnail

Language: multiple

Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/mfalme-hembe/

Summary: Mfalme Hembe amepatwa na wasiwasi kwamba mwanawe Ngata anataka kumwangusha ili yeye awe Mfalme. Anaacha wosia kwamba Heti, mdogo wake Ngata, ndiye atakuwa Mfalme. Je hatma ya Ngata itakuwaje?