Kijana Shupavu na Simba
Published Year: 2015

Language: sw
Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/kijana-shupavu-na-simba/
Summary: Maisha yalikuwa magumu kwa kijana shupavu wazazi wake walipofariki. Mfalme na walinzi wake walifanya hila za kumdhuru. Lakini kijana akakutana na Simba.Urafiki wao ukawaokoa wote wawili. Soma ujionee ilivyotokea