Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Janga Sugu la Wazawa
Kimeandikwa na Gabriel Ruhumbika
Mchapishaji E & D Limited
Mwaka 2002
sw
Kurasa 194
Hatimaye kila mahali kote nchini wananchi wakaogopa zaidi hilo janga sugu la jamii yao kuliko kitu kigine chochote hapa duniani.Kuliko radi na tetemeko la ardhi na mafuriko ya maji na maafa mengine ya asili.Kuliko magonjwa ya hatari kama ndui na tauni na kipindupindu na UKIMWI.Kuliko wanyama wakali wa porini.Kuliko majambazi na majizi yenye silaha.Kuliko hata vita.Hilo janga kuu na sugu la jamii ya mtu mweusi likawa tishio kubwa kwa uhai wa binadamu na usalama wake kote Tanzania kuliko hata mauaji ya halaiki,kwani sasa liliua halaiki kwa halaiki za watu wakati wote, “Lakini pia kila mmoja wao aliamini kwamba penye nia kuna njia.Na kwamba mradi vita inaendelea ushindi hatimaye utapatikana.Na alijua kwamba harakati za vita hiyo tayari zitamaanisha mwanzo wa jamii mpya”
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/janga-sugu-la-wazawa/
...
ISBN: 9987622313
Shukrani kwa E & D Limited
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.