Godoro la Ajabu

Book Thumbnail

Language: sw

Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/godoro-la-ajabu/

Summary: Farida ni binti mcheshi na Mtiifu, ila ana tatizo moja. Anakojoa Kitandani,Wenzake kila siku wanamvizia wacheze kindumbwendumbwe lakini mama huwazuia akisema:si kusudi lake,Leo ,mama amemnunulia Farida godoro jipya tena la kunesa! Farida anarukaruka kwa furaha. Fuatilia kisa hiki.