Jijue

Freshi na Maisha

Published Year: 2005

Book Thumbnail

Language: sw

Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/freshi-na-maisha-jijue/

Summary: Mojawapo ya stadi kuu za maisha ni kufahamu jinsi ya kutumia akili yako kunufaisha maisha yako,mahali popote ulipo.Uwe mtendaji,siyo mtendewa,ili ujielwe zaidi,ufanye mambo makubwa na udhibiti mwelekeo wa maisha yako... Jijue