You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

View this book in English Bridge Across the River Nile
Sign up for news and free books by email!
Daraja Juu ya Mto Nile
Written by M. J. Mwandosya
Publisher E&D Vision Publishing Limited
Published 2015
sw
Pages 443
Mto Nile ni mrefu kuliko mito yote duniani,ambao katika historia umekuwa chimbuko la mshangao,udadisi,utafiti,uchunguzi na chanzo na makutano ya ustaarabu,biashara,himaya mbalimbali, sayansi na teknolojia na uhandisi. Mto Nile na Bonde lake unaunganisha nchi 11 ambazo ni Burundi, Eritrea, Ethiopia, Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo,Kenya,Misri,Rwanda,Sudan ,Sudani ya kusini,Tanzania na Uganda.Sehemu ndogo ya Bonde la Nile iko Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kitabu hiki,DARAJA JUU YA MTO NILE,kinachambua jiografia,uhandisi,siasa na juhudi za ushirikiano kati na baina ya nchi za Bonde hilo.Watafiti wa masuala ya majishirikishi na wanasiasa wametabiri kwamba vita zijazo duniani zinatokana na kutokuelewana katika matumizi ya maji.Mwandishi Prof.Mwandosya, anaamini kwamba Mto Nile unaweza na utakuwa daraja la ushirikiano na umoja baina ya nchi za bonde hilo.Imani hiyo inatokana na juhudi za nchi hizo miaka mingi zilizofanikisha kupatikana kwa mkataba Mhimili wa ushirikiano baina Nchi za Bonde(Nile Basin Cooperative Framework Agreement-CFA).Chimbuko la kitabu hiki ni uzoefu alioupata mwandishi,kama mtendaji ndani ya serikali,mwalimu na katika majadiliano yaliyofanikisha kupatikana kwa CFA. DARAJA JUU YA MTO NILE ni kitabu kinachovuta utashi wa kutaka kuelewa undani wa mazingira ya maji na siasa zake.Kitabu hiki kitakuwa na faida kubwa hasa kwa wanafunzi,wasomi,watafiti wa masuala ya majshirikishi na wanasiasa.
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/daraja-juu-ya-mto-nile/ see also: Bridge Across the River Nile (English version)
...
ISBN: 998773538X
Thank you to E&D Vision Publishing Limited
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all