Saa Ngapi?
Published Year: 2004

Language: sw
Details: link: https://mkukinanyota.com/product/saa-ngapi/ Categories: Children's, Language, Picture book, Pre-primary, Swahili, Textbook
Summary: Saa ngapi?’ ni swali lilnaloulizwa kila wakati. Kuna usemi kuwa ‘Muda ni mali’. Je, tunautumiaje muda wetu? Je,tunaweza kufanya kila kitu wakati muda wowote? Kitabu hiki kinatupa mpangilio wa baadhi ya shughuli zetu katika siku. Matukio hutokea ndani ya muda. Fuatilia.