Guberi Mfawidhi na Ruksa

Published Year: 2004

Book Thumbnail

Language: sw

Details: link: https://mkukinanyota.com/product/guberi-mfawidhi-na-ruksa/ alternate isbn: 9987686923 9789987686926

Summary: Riwaya mbili maarufu za marehemu John Rutayisingwa. Ya kwanza, inaasa msomaji dhidi ya tabia mbaya katika mahusiano ya wanaume na wanawake. Ya pili, inazungumzia matumizi mabaya ya madaraka; lakini katika kula na kulipa pia kupo. These are two short novelettes by the late journalist John Rutayisingwa. The first, Guberi Mfawidhi, counsels against infidelity in marital relationships; and the second discusses the negative use of power, warning that there is always payback.