Katala na Genge la Wezi
Published Year: 2004

Language: sw
Details: Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili link: https://mkukinanyota.com/product/katala-na-genge-la-wezi/
Summary: Katala ni mpenzi mkubwa wa mpira wa miguu. Anacheza mpira kila mahali. Katika harakati za mchezo huo, anapiga shuti kubwa, mpira unaingia mpaka jikoni na kuvunja vyombo. Mchezo unaishia hapo. Siku nyingine katika harakati za mchezo huo, anakwenda na rafiki zake kucheza mbali zaidi. Mpira unasaidia kugundua maficho ya genge la wezi. Ni kwa namna gani?