Kisa cha ng'ombe na simba
Published Year: 2004

Language: sw
Details: Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili link: https://mkukinanyota.com/product/kisa-cha-ngombe-na-simba/
Summary: Kukosa katika maisha ni jambo la kawaida. Kusameheana huleta maelewano zaidi na kuleta maisha. Kutokusamehe huleta mauti na maumivu. Mwana Simba hakuwa tayari kusamehe, hatimaye alipatwa na maumivu.