Kitabu hiki kina tungo za mshairi Ali Salim Zakwany. Tungo zake zimesheheni maarifa na hekima maridhawa kwani zinagusa nyanja zote za maisha ya watu: Maadili, Elimu, Siasa, Dini n.k.
A collection of Swahili poems by Ali Salim Zakwany famously known by his pen name ‘Jinamizi’ (Nightmare).
...