Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Msako
Kimeandikwa na
Mchapishaji Mkuki na Nyota
sw
Hii ni tafsiri ya kitabu, Al-Tariq, riwaya ya mwandishi maarufu wa Misri Naguib Mahfouz, raia wa Misri (1911 – 2006) iliyoandikwa katika lugha ya Kiarabu. Kwa kipindi cha miaka sabini, aliandika riwaya hamsini, hadithi fupifupi mia tatu na hamsini na tamthilia tano. Alitunukiwa tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 1988 akawa Mwafrika wa kwanza kupata tuzo hiyo. This is a translation of Al-Tariq, a novel by Egyptian author Naguib Mahfouz (1911 -2006), Africa’s first winner of the Nobel Prize for Literature (1988) and one of the most admired writers worldwide. Mahfouz wrote some forty novels, more than 100 short stories, 5 plays and numerous film scripts. The Arabic original of Al-Tariq was published in 1964. This Swahili translation is from the English translation. About the author Naguib Mahfouz was an Egyptian writer who won the 1988 Nobel Prize for Literature. He published over 50 novels, over 350 short stories, dozens of movie scripts, and five plays over a 70-year career. Many of his works have been made into Egyptian and foreign films.
...
Kimetafsiriwa na
Deogratias Simba
ISBN: 9789987686674
Shukrani kwa Mkuki na Nyota
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.