Hasira Hasara

kisa cha nyigu na nyoka na hadithi nyingine

Published Year: 1994

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Alternate ISBN: 392100814X, 9783921008140 link: https://mkukinanyota.com/product/hasira-hasara/

Summary: Hiki ni kitabu chenye mkusanyiko wa hadithi nyingi za wanyama zenye kutoa mafundisho ya maadili. Ili kunufaika na mafundisho yaliyomo kwenye hadithi hizo, zifuatilie kwa makini.