1 copy
Available for free in Arusha! Request
Vuta n' kuvute
1999
pages 277
Written by Adam Shafi Adam
Publisher: Mkuki na Nyota Publishers sw
Shafi Adam Shafi aliyeadika Kasri ya Mwinyi Fuad na Kuli, anainua kiwango na hadhi ya fasihi ya Kiswahili katika riwaya hii ya Vute n’ kuvute. Kwanza, kuna ndoa ya Yasmin, mtoto wa kihindi kwa Bwana Raza, mzee sawa na babu yake. Yasmin anafukuzwa na wazee wake kwa kumwacha Raza. Katika upweke wake, anasitiriwa na Mwajuma, shoga yake anayeishi ili kustarehe katika dansa, taarab na pegi za vikali. Yasmin anaingizwa uswahilini. Kuna wivu unaopelekea kifo cha Shibab, mume wa pili wa Yasmin. Kuna Denge, Yasmin anampenda lakini hapendeki. Kwa Denge ni mapambano na ukoloni tu na makachero wake. Hii ni Vuta n’ kuvute ambayo sharti yeye na wenzake waishinde. This award-winning novel is set in Zanzibar in the years before the revolution. It brings together characters from the Indian and Swahili communities, portraying all the tensions between the communities, complications of inter racial relationships, the struggle of workers against colonialism and influence of students returned home from Soviet Union with revolutionary theories. The brilliantly sketched and unforgettable characters in the novel have put Adam Shafi at the forefront of Swahili novelists. This award-winning novel is set in Zanzibar in the years before the revolution. It brings together characters from the Indian and Swahili communities, portraying all the tensions between the communities, complications of inter racial relationships, the struggle of workers against colonialism and influence of students returned home from Soviet Union with revolutionary theories. The brilliantly sketched and unforgettable characters in the novel have put Adam Shafi at the forefront of Swahili novelists.
...
link: https://mkukinanyota.com/product/vuta-nkuvute/
...
ISBN: 9976973292
Thank you to Mkuki na Nyota Publishers
Download free pdfs
Free books by category