Jini na Mayai ya Ajabu

Published Year: 1999

Book Thumbnail

Language: sw

Details: link: https://mkukinanyota.com/product/jini-na-mayai-ya-ajabu/

Summary: Hebu fikiria ungepata bahati ya kupata chochote unachotaka. Lakini usipotumia busara na hekima zako basi bahati hiyo yaweza kugeuka mkosi. Soma ufahamu haya mayai yana ajabu gani. Na jini je? Hiki ni kisa cha aina yake, soma ujionee.