Kisa cha Kuku na Mwewe
Published Year: 2005

Language: sw
Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/kisa-cha-kuku-na-mwewe/ 978-9987-735-40-2 or 9789966254672
Summary: Kuku na Mwewe walikuwa marafiki wakubwa.Kuku akamfanyia rafiki yake Mwewe ukatili uliosababisha watoto wake kufa.Soma hadithi ujue Kuku alifanya nini kwa Mwewe.