You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Uchambuzi wa Sera, Uongozi, na Maslahi ya Watanzania
Written by C. S. L. Chachage
Publisher E&D Vision Publishing
Published 2014
sw
Pages 261
“UCHAMBUZI WA SERA, UONGOZI NA MASLAHI YA WATANZANIA:Ni mkusanyiko wa makala mbalimbali yanayotetea na kupigania maslahi ya Watanzania katika uporwaji wa Rasilimali na haki za watu za msingi.Chachage anafanya hivyo kuelezea na kupambanua kwa kina maslahi yanayohusu sera, uchumi, utamaduni na siasa.Anauweka uchambuzi wake katika muktadha wa utandawazi,anaouita utandawizi, ambao ni mwendelezo wa ukoloni na ukoloni mamboleo na “daima unalenga kujenga uhusiano wa kinyonyaji uliojikita katika uporaji wa ardhi na rasimali,ulazimishaji wa wazalishaji kuzalisha mali na bidhaa za kukidhi mahitaji ya watu wa magharibi na uwepo wa soko la wafanyakazi wa ujira wa duni….” Madhumuni ya uchambuzi wa masuala haya, ambayo ameyaelezea katika lugha nyepesi ,yanalenga kutofautisha ukweli na uongo katika mambo mengi wanayoambiwa na kutokea Watanzania,ili msomaji aweze kuona ni kwanini maendeleo ya Watanzania yamekuwa kitendawili. Hiki ni kitabu cha kusomwa na kila Mtanzania,kwani masuala anayozungumzia Chachage yanamgusa kila Mtanzania.”
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/uchambuzi-wa-sera-uongozi-na-maslahi-ya-watanzania/
...
ISBN: 9987735274
Thank you to E&D Vision Publishing
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all