Wanyama Wenye Uti Wa Mgongo
Published Year: 2014

Language: sw
Details: Primary & Secondary School Supplementaries link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/wanyama-wenye-uti-wa-mgongo/
Summary: Wanyama Wenye Uti wa Mgongo ni kitabu kilichojaa maarifa na Ujuzi kuhusu makundi ya wanyama wajulikanao kama mamalia, reptilia, amfibia, samaki na ndege.
Wanajulikana kwa:
-Kuwa na vichwa
-Kuwa na milango ya fahamu na Ubongo
- Kuwa na uti wa Mgongo
-Kuwa na mfumo wa Mifupa
-Kuwa na Mzunguko wa damu
-Kuwa na jinsi