You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Tufurahie Namba
Written by Innocent Swai
Publisher E & D Vision
sw
Tufurahie Namba 1: Tujue Kuhesabu Ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu kumi. Vitabu hivi vimeweka mkazo katika kutoa elimu ya namba kuanzia ngazi ya chini ya chekechea hadi ngazi ya juu inayolenga watoto wa darasa la sita na saba. Kitabu hiki cha kwanza kinamsaidia mtoto anayeanza kuhesabu 1 hadi 10. Mazoezi mepesi yametolewa ili kumwezesha mtoto mwenyewe, mzazi au mwalimu, kuhakikisha kwamba mtoto ameelewa namba hizo vizuri
...
link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/tufurahie-namba-1-tujue-hesabu/ illustrator: A. Gugu Children Swahili Titles, Pre School Titles
...
ISBN: 19987884662
Thank you to E & D Vision
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all