You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Mwongozo wa Upimaji katika Shule za Msingi
Publisher Baraza la Mitihani la Tanzania
Published 2022
sw
Pages 81
Mwongozo huu unaelezea dhana ya upimaji, malengo ya upimaji, aina za upimaji na hatua mbalimbali za upimaji, ikiwa ni pamoja na uandaaji wa jedwali la upimaji. Vile vile, mwongozo umeeleza namna bora ya urekebishaji wa maswali, uendeshaji wa upimaji na usahihishaji. Pia mwongozo umeeleza namna bora ya utunzaji wa alama zinazotokana na upimaji kwa matumizi mbalimbali ikiwemo uboreshaji wa ufundishaji na ujifunzaji. Aidha, mwongozo huu unaelekeza namna ya kuandaa upimaji na kufanya ufuatiliaji. Baraza la Mitihani linatarajia kuwa, mwongozo huu utakuwa chachu kwa wadau wote wa elimu, hususani walimu wa shule za msingi katika kuandaa maswali bora ya upimaji wa wanafunzi katika mchakato mzima wa ufundishaji na ujifunzaji. Mwongozo pia utasaidia Wathibiti Ubora wa Shule katika kufuatilia na kufanya tathmini kuhusu umahiri wa walimu katika kuwapima wanafunzi katika ufundishaji na ujifunzaji. Baraza la Mitihani linawashukuru wote walioshiriki katika kuandaa mwongozo huu.
...
Miongozo zaidi inapatikana hapa tovuti ya NECTA
...
Thank you to Baraza la Mitihani la Tanzania
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all