You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Shughuli za kimaisha na thamani mbalimbali za bioanuwai katika mandhari ya Usambara Mashariki
Publisher Swiss Agency for Development and Cooperation
Published 2010
sw
Pages 43
Download 1.0 MB
Kuna mawazo ya kina yanayokubalika kwamba usimamizi shirikishi utawezekana tu pale mawazo na vipaumbele vya jamii husika yatahusishwa katika mipango ya matumizi bora ya ardhi kama hifadhi na uangalizi unafanyika kwa makini. Hii ni mahususi hasa kwa hifadhi ya bioanuwai kwenye maeneo ya vijiji yaliyo nje ya maeneo yaliyohifadhiwa lakini yana misitu na miti ya hapa na pale. Maeneo haya yanahitaji utafiti wa kina zaidi. CIFOR na ICRAF walikutana 2006 na kufanya ubia, ambao lengo ni kufanya utafiti kuhusu matumizi endelevu ya maliasili, Uhifadhi wa bioanuwai na kuhakikisha kila jamii inanufaika sawa na rasilimali hizi. Shughuli za utafiti wa kimaendeleo zilifanyika kwenye maeneo ya mandhari yenye matumizi ya ardhi na viumbe aina mbalimbali (Landscape mosaics) ambazo zimelenga aina ya misitu, kilimo na shughuli nyingine za kimaisha. Mradi umechangia kuboresha shughuli za kimaisha za jamii za vijijini na uhifadhi wa bioanuwai. Mradi huu umechambua majumuisho ya shughuli za kimaisha za watu wa vijijini ambao wanaishi kwenye eneo la mradi (land scape mosaics) kupitia mfumo endelevu wa shughuli za kimaisha.
...
Thank you to Sokoine National Agricultural Library
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all