Hadithi za Biblia
Faster download
Language: sw
Details: Version 4.1 - Source files Kitabu hiki kinapatikana kwa lugha mbalimbali, na pia kwa App ya Simu
Summary: Kitabu hiki kina hadithi hamsini za Biblia kutoka Agano la kale na Agano Jipya, mapamoja na michoro. Kinatumika kwa ajili kujifunza Biblia, kufundisha kanisani na kuwasomea watoto kwa sauti.