Almasi na Jitu

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Children Swahili Titles. Illustrator: Fred Mouton

Summary: Watu wa kijiji cha Gama walijawa na wasiwasi. Walikuwa wamepata habari kuwa kulikuwa na Jitu lafi,kubwa na nene mno lililoishi mbugani karibu na kijiji chao. Msichana mdogo alimasi alikosa raha alikuwa kilema alijua jitu likifika kijijini hataweza kukimbia. Fuatilia kisa hiki.