Imani Yangu
Maelezo Mafupi juu ya Imani ya Kikristo
Published Year: 1986
Language: sw
Details: Gudmund Vinskei ni Katibu wa Afrika katika Norwegian Lutheran Mission.
Summary: Neno la Mungu lisemaj? Siku hizi swali hilo limekuwa muhimu kwa vijana wa Afrika wengi. Kizazi kipya cha wasomaji wa Biblia kimetokea. Kitabu hiki kitakuonyesha mafunzo makuu ya Neno la Mungu. Ni maelezo mafupi juu ya Imani ya Kikristo.