Nyimbo za Ibada
Published Year: 1999
Language: sw
Details: Toleo la pili. This book came to Elimu Yetu through the estate of James E. Sharp. Thank you.
Summary: Shabaha ya kitabu cha Nyimbo za Ibada ni kuwasaidia watu wa kanisa la Mungu la Afrika Mashariki kumwabudu Bwana wetu Yesu Kristo katika umoja. Nyimbo nyingi katika kitabu hiki zimepigwa chapa kwa mara ya kwanza katika lugha ya Kiswahili. Zimeafsiriwa upya. Tena utaona nyimbo ambazo umeziimba tayari zinaonekeana katika faharasa.