Mashine ni chombo chochote kile ambacho, kwa kutumia nguvu fulani, kinawezesha kazi kufanyika kwa urahisi zaidi, au kinasahilisha kazi. Kitabu hiki kineleza kanuni muhimu za uhandisi na sayansi ya mashine. Kinazungumzia aina sita za mashine rahisi - kabari, roda, nyenzo, skrubu, mitelemko, gurudumu na ekiseli - ambazo ndizo chanzo cha mashine zote duniani.
...