Uchongaji na Ukereaji Vyuma
Vitabu vya Ufundi 10: Daraja la III
Published Year: 1977
Language: sw
Summary: Hiki ni Kitabu kinachotoa maelezo fasaha juu ya utaalamu wa kuchonga na kukereza vyuma (fitting and turnin). Kwanza kinaeleza aina za chuma, uchimaji wake na namna ya kukitengeneza kwa matumiza mbalimbali.