View this book in English Learn to Read and Write Chess
Jifunze Kusoma na Kuandika Sataranji
2022
Pages 16
Publisher: World Chess Hall of Fame sw
Kijitabu hiki cha mazoezi kimeandaliwa kwa ajili ya mtu yeyote anayetaka kujifunza nukuu za sataraji (Chess). Kimeundwa na Dk. Jeanne Cairns Sinquefield, mwanzilishi mwenza wa Klabu ya Sataranji ya Saint Louis na kiongozi wa mradi wa Chess katika Skauti wa Wavulana wa Amerika; kitabu hiki kina vyote vinavyotakiwa! Ni rahisi kutumia kwa watu wanaopendo kujifunza kupitia michoro. Kina mpangilio mzuri unaolinganisha kusoma, kusema, kuandika na kusogeza kete ili kukuza uelewa wa nukuu ya sataranji haraka sana! Kijitabu hiki kinatumika pia darasani ili kuwasaidia watoto: - Kujifunza kusoma, kuandika na kufuata maelekezo. - Kuongeza ufahamu wa muundo ili kutambua mifumo. - Kukuza ujuzi na mikakati ya kukariri na kutatua matatizo.
...
Translated by
Johnson John, Brighid McCarthy
Thank you to Jeanne Cairns Sinquefield
Download free pdfs
Free books by category
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all