Historia Kuu ya Afrika - Juzuu 6 - Afrika kwenye Karne ya Kumi na Tisa hadi miaka ya 1880
Juzuu Lililofupishwa
Faster downloadPublished Year: 1999

Language: sw
Details: CC BY-SA 3.0
Summary: Historia Kuu ya Afrika (kwa Kiingereza w: General History of Africa (GHA)) ni mradi wa UNESCO ulioanzishwa tangu mwaka 1964. Shabaha ya mradi ni kusahihisha “maelezo mapotovu yaliyokuwa yakieleza umaskini na ushenzi katika bara hili” kwa “kufanya uchunguzi mwafaka wa habari usiokuwa na upendeleo” . Uliona Historia ya Afrika “imeharibiwa mno kutokana na kutokujua na ubinafsi wa watu walioiandika."