View this book in English General History of Africa - Volume 5 - Africa from the Sixteenth to the Eighteenth Century
Historia Kuu ya Afrika - Juzuu 5 - Afrika kuanzia Karne ya Kumi na Sita hadi ya Kumi na Nane
Juzuu Lililofupishwa
Publisher UNESCO, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI)
Published 2000
sw
Pages 491
Download
17.9 MB
This book is public domain or creative commons
Historia Kuu ya Afrika (kwa Kiingereza w: General History of Africa (GHA)) ni mradi wa UNESCO ulioanzishwa tangu mwaka 1964. Shabaha ya mradi ni kusahihisha “maelezo mapotovu yaliyokuwa yakieleza umaskini na ushenzi katika bara hili” kwa “kufanya uchunguzi mwafaka wa habari usiokuwa na upendeleo” . Uliona Historia ya Afrika “imeharibiwa mno kutokana na kutokujua na ubinafsi wa watu walioiandika” [1] . Awamu ya kwanza hadi mwaka 1999 ilikuwa kuandika na kutoa vitabu 8 kuhusu Historia Kuu ya Afrika. Awamu ya pili tangu mwaka 2009 inalenga kuandaa muhtasari wa historia na vitabu pamoja na misaada kwa walimu wa shule.
...
CC BY-SA 3.0
...
ISBN: 92-3-102497-3
Thank you to UNESCO Digital Library
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.