Magozwe
Bilingual Edition
Faster download
Language: multiple
Details: Kitabu hiki cha lugha mbili kinatoka African Storybook. Ukitaka kutengeneza kitabu cha nakala ngumu, pakua toleo la kuchapisha. Ukitaka kusoma kwa Kiswahili pekee: Pakua PDF au Nisomee kwa Sauti This bilingual book comes from African Storybook. If you want to make your own hard-copy book, download the printable version. If you want to read in English only: Download PDF or Read Aloud Creative Commons 4.0
Summary: Magowzwe ni mvulana aliyezoea mazingira magumu. Amekutana na changamoto kubwa za maisha. Atakata tamaa, au atapata njia kufika ndoto zake? Magozwe is a boy who's gotten used to a difficult environment. He has faced big challenges in life. Will he give up, or find a way to achieve his dreams?