Heri ya sikukuu ya Saba Saba! Sherehekea kwa kupiga kura katika shindano la insha ya methali

➡️ Soma insha zote hapa ⬅️

Bongeza ❤️ ili kupiga kura  


Tumefurahi sana sana kusoma insha zote tulizopokea kutoka kwenu. Kwa wote walioshiriki tunasema Asanteni na hongereni kwa kazi nzuri!
Zisome na upige kura kwa insha zozote unazozipenda. Insha tatu zitakazopata ❤️ nyingi zaidi kabla ya tarehe 15/7/23 zitapokea zawadi za pesa!

Insha zote zilizowasilishwa zinaonekana sasa hapa: www.maktaba.org/shindano/insha
Karibuni mshirki link hii (kiungo) na marafiki zako na wengine. Mtu yeyote anaweza kufungua akaunti haraka bila malipo ili aweze kupiga kura kwa kubongeza ❤️. Unaweza kupigia kura kwa insha zozote unazozipenda!

Leo ndio tarehe ya mwisho ya kuwasilisha insha yako kwa Shindano la Insha ya Methali! Tafadhali wasilisha insha yako juu ya methali yoyote kwa tuzo@maktaba.org leo! (Kiingereza au Kiswahili).

Jifunze Kiswahili leo Siku ya Kiswahili Duniani (Rasilimali bila malipo)


Leo Saba Saba tunasherehekea miaka 69 years tangu Julius K. Nyerere Alipoanzisha TANU ili kupigania uhuru. 

Heri ya Sikukuu ya Saba Saba na Siku ya Kiswahili Duniani kutoka kwa Maktaba.org!