Shukrani kwa Kase Bookstore Ltd. na Fanuel Francis kwa kutoa mchango wa ukarimu wa vitabu 30. Vinapatikana sasa kwa kuazima kwenye Matkaba ya Elimu Yetu, Kijenge Tindigani. Karibuni!
Pakua Cheti cha Kutambua Mchango chako chini!
- Tanzania! Tanzania! na Mwl. J.K. Nyerere
- Shabaha ya Elimu Kwa Jamii
- Diwani ya Ustadh Andanenga
- Mwongozo wa Kitabu cha Amosi
- Mwongozo kwa Waraka kwa Waebrania
- Mwongozo wa Zaburi
- History 4: Primary Schools, Pupil's Book
- Sayansi 1: Shule za Msingi - Kitabu cha Mwanafunzi
- Jiandae Vema Misingi ya Sayansi kwa Shule za Msingi - Sehemu ya Pili
- Improve your Social Studies : Standard 6 Coursebook
- Maarifa ya Nyumbani 1
- Maarifa ya Nyumbani 2
- Uraia kwa Shule za Msingi Darasa la Tatu
- Uraia kwa Shule za Msingi Darasa la Saba 7
- Nchi Yetu - Elimu ya Siasa kwa Shule za Msingi - Kitabu Cha Kwanza
- Shabaha ya Elimu Kwa Jamii
- Primary Mathematics Standard 3 (x 2 copies)
- Tujifunze Hisabati Darasa la 3 (x 2 copies)
- Sayansi 5 kwa Shule za Msingi
- Misingi ya Sayansi 2
- Biology Notes for Secondary Students
- Hisabati 4 - Kitabu cha Mwanafunzi
- Mulika Volume 18 & Volume 21 (x 2)
- Uraia kwa Shule za Msingi Darasa la Tatu 3
- Uraia kwa Shule za Msingi Darasa la Saba 7
- Success English, Standard 5
Tunakushukuru sana Fanuel!